Jumapili, 17 Novemba 2019

NAFASI ZA KAZI BAMM SOLUTIONS (T) LIMITED. NAFASI (5) MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 20 NOVEMBER 2019







BAMM SOLUTIONS (T) LIMITED is Tanzanian company that deals with provision of skilled and unskilled
labour, trading, provision of cleaning and housekeeping services, fumigation, landscaping and levy
collections. We are hereby seeking for relevant qualified candidates for the following posts;

Job title: Project manager
Post: Three (3) posts
Job location: IRINGA (1 post), DODOMA (1 post), MOROGORO (1 post)
Age: 18-35 years
Interview location: Dar es Salaam
Duties:
1. Identify market opportunities by identifying customer requirements. Example defines market,
competitors share, competitor’s strength and weaknesses, forecast projected business and
establish target.
2. Monitor competition by gathering market place information
3. Inform customers of current promotions and discounts
4. Maintain positive business and customer relationship in the effort to extend customer lifetime
value
5. Develop strategies for more effective sales
6. Oversee business development activities
7. Develop and administer marketing database
8. Using marketing strategies to reach the company’s targeted output per month.
9. Set marketing schedules and coordinates with colleagues
10. Implement and adhere to company policies.
11. Supervision of subordinate’s staff within the region.
12. Perform any other duty assigned by supervisor.
Qualification: Bachelor degree or Diploma in marketing, business administration and related field.
Salary: Attractive package will be offered to successful candidate.
Deadline: 20/11/2019

Job title: procurement officer
Post: 2 posts
Job location: Dar es salaam
Age: 18-35years
Interview location: Dar es Salaam
Duties:
1. Making sure that tendering documentation is professionally maintained.
2. Conduct competitive bidding/tendering with potential suppliers in close cooperation with the
respective department
3. Establishing effective vendor relationship and carrying out performance evaluation
4. Creating and maintaining contact documents and or service level agreements
5. Proactively researching and monitoring the market for new suppliers and products best price
and prepositions.
6. Resolving issues relating to vendor performance, undelivered, damaged materials and services.
7. Invoice/good receipt query resolution among requisitions, finance and suppliers.
8. Work experience: at least two (2) years experience in purchase role dealing with services related
to procurement and creation of contracts and services level agreement.
Qualifications:
 Degree or Diploma in procurement and supplies/ logistics.
 Fluent in English and Swahili language
Salary: Attractive package will be offered to successful candidate.
Deadline: 20/11/2019
How to apply
Interested applicants may send the application through email address: hrbammsolutions @gmail.com
copy to legalbammsolutions@gmail.com
Or hand delivery at Head quarter located at Ndovu/Nyamwezi street, Kariakoo Dar es Salaam, addressed
to HUMAN RESOURCE MANAGER,
BAMM SOLUTION (T) LIMITED,
P.O.BOX 61800,
DAR ES SALAAM.

LIPIA USHURU WA MAEGESHO WA VYOMBO VYA MOTO KWA HIARI BILA SHURUTI TUBORESHE MIUNDOMBINU YA BARABARA ZETU KWA MAENDELEO YA NCHI YETU

Mmoja wa wafanyakazi wa BAMM SOLUTIOS (T) LIMITED akikusanya ushuru wa maegesho wa vyombo vya moto jijini Dodoma,Bi Diana Emmanuel akitekeleza jukumu lake la kila siku la kutoa stakabadhi halali ya kukusanya tozo za maegesho.BAMM SOLUTIONS (T) LIMITED ndiye wakala anayekusanya ushuru wa maegesho wa vyombo vya moto jiji la Dodoma kwa niaba ya TARURA. 

Jumapili, 13 Oktoba 2019


Kikosi kazi cha BAMM Solutions T limited (Enforcement Team) kikitekeleza majukumu yake ambayo ni kuelimisha wananchi namna sahihi ya utumiaji wa maegesho ya vyombo vya moto katika hifadhi za barabara,kuonya pale panapostahili na ikibidi kuadhibu pale kosa linapotokea.


Wasimamizi wa BAMM Solution T Limited katika mradi wa ukusanyaji wa ushuru wa maegesho wa vyombo vya moto kwenye hifadhi za barabara kwenye manispaa za Kinondoni na Ubungo mkoa wa Dar es salaam.Kutoka kushoto ni Bw,Adnani Wajadi,anayefuata ni Bw, Zerubabeli Yasin,Bi, Jackline na Bw, Zakayo hapo ni baada ya kikao cha kiutendaji kilichofanyika hivi karibuni.
Meneja mkuu Bw. Atugonza Rweyemamu pamoja na afisa rasilimali watu Bi.Cecilia Wamcha wakiteta jambo kwa wafanyakazi wa BAMM solutions (T) Limited katika ofisi ndogo za Makumbusho Dar es salaam hivi karibuni.

Jumanne, 1 Oktoba 2019


BAMM SOLUTIONS (T) LIMITED

REG # 62126      TIN: 106-661-901    VAT: 40-001860-U
P.O.BOX 61800 DAR ES SALAAM TEL 0222181738, 0655236080,
Mob: 0713 836 080, 0755 770 668, Email bammsoln@yahoo.com  or bammsoln@gmail.com


BAMM SOLUTION (T) LIMITED   ni kampuni iliyopewa dhamana na wakala wa barabara,vijijini na mijini (TARURA) ya kukusanya tozo(ushuru) za maegesho  ya vyombo vya moto kwenye hifadhi za barabara katika manispaa ya Kinondoni na ubungo,mkoa wa Dar es Salaam.
  • Nyanja kuu ya biashara ni usafi wa mazingira na ukunyaji wa tozo za maegesho ya vyombo vya moto katika hifadhi za barabara.
  • Bamm solutions kwasasa ndiyo inayoshikilia kandarasi ya kufanya usafi kwenye mabweni ya chuo kikuu cha dar es salaam.
  • Pia kampuni inajihusisha na usambazaji wa bidhaa mbalimbali katika ofisi na taasisi za serikali na binafsi.
  • Tuna uzoefu wa zaidi ya miaka mitatu katika ukunyaji wa tozo mbalimbali na kutoa huduma za usafi katika taasisi mbalimbali.
  • Ofisi kuu: Plot Namba. 11, Ndovu /Nyamwezi Street, Kariakoo Area, address P.O.BOX 61800, Dar Es Salaam, Tel 022-2181738, Fax: 022-2181738, Mobile: 0655236080, 0754836080 Branch offices: SIDO AREA, P.O. Box 213, DODOMA. MWANZA P.O BOX 2711 MOB 0754 836080; Uhuru street.
  • KARIBUNI WOTE, TUIJENGE NCHI YETU PAMOJA.

NAFASI ZA KAZI BAMM SOLUTIONS (T) LIMITED. NAFASI (5) MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 20 NOVEMBER 2019

BAMM SOLUTIONS (T) LIMITED is Tanzanian company that deals with provision of skilled and unskilled labour, trading, provision of...