Jumapili, 17 Novemba 2019

LIPIA USHURU WA MAEGESHO WA VYOMBO VYA MOTO KWA HIARI BILA SHURUTI TUBORESHE MIUNDOMBINU YA BARABARA ZETU KWA MAENDELEO YA NCHI YETU

Mmoja wa wafanyakazi wa BAMM SOLUTIOS (T) LIMITED akikusanya ushuru wa maegesho wa vyombo vya moto jijini Dodoma,Bi Diana Emmanuel akitekeleza jukumu lake la kila siku la kutoa stakabadhi halali ya kukusanya tozo za maegesho.BAMM SOLUTIONS (T) LIMITED ndiye wakala anayekusanya ushuru wa maegesho wa vyombo vya moto jiji la Dodoma kwa niaba ya TARURA. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

NAFASI ZA KAZI BAMM SOLUTIONS (T) LIMITED. NAFASI (5) MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 20 NOVEMBER 2019

BAMM SOLUTIONS (T) LIMITED is Tanzanian company that deals with provision of skilled and unskilled labour, trading, provision of...